Isaiah 7:3

3 aNdipo Bwana akamwambia Isaya, “Toka uende, wewe na mwanao Shear-Yashubu,
Shear-Yashubu maana yake Mabaki Watarudi.
mkutane na Ahazi huko mwisho wa mfereji wa Bwawa la Juu, kwenye barabara iendayo Shamba la Dobi.
Copyright information for SwhKC